Breaking News

WAZIRI MKUU AFUNGUA MICHUANO YA AFCON U17.


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Shirikisho ya Soka Barani Afrika (CAF), Ahmad Ahmad katika mechi ya ufunguzi ya Mashindano ya AFCON U17 kati ya Tanzania na Nigeria kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Aprili 14, 2019. Majaliwa akizungumza wakati alipofungua  Mashindano ya AFCON U17 kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam Aprili 14, 2019. Wenye Jezi za Bluu ni Timu ya Tanzania – Serengeti Boys na kulia ni Timu ya Nigeria. 
 
Majaliwa akiikagua Timu ya Tanzania ya  Serengeti Boys  iliyopamba na Nigeria katika  mechi ya Ufunguzi wa Michuano ya AFCON U17 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Aprili 17, 2019. 

 
Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi katika mechi ya ufunguzi wa Michuano ya AFCON  U17 ambapo Tanzania  ilipambana na Nigeria kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Aprili 14, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments