Breaking News

WAZIRI MKUU ALIPOKUWA BUNGENI LEO BUNGE 5.4.2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Joseph Kakunda, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2019. 
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa viti maalum Vicky Kamata, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments