Breaking News

WAZIRI MKUU NDANI YA BUNGE LEO.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma Aprili 16, 2019.

Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule, Bungeni jijini Dodoma Aprili 16, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments