Breaking News

WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI.


Waziri wa mambo ya Njena Ushirikiano wa  Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini, Mheshimiwa Frédéric Clavier, walipokutana kwa mazungumzo katika ofisi ya wizara Dodoma. Katikamazungumzohayo, Tanzania na Ufaransa zimekubaliana kushirikiana katika masuala mbalimbali ikiwemo kilimo cha zabibu, uzalishaji wa mvinyo na mauzoyake nje ya nchi.
 
Prof. Kabudi, akisisitiza jambo alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Mheshimiwa Frédéric Clavier.
 
Prof. Kabudi, akimweleza jambo Balozi wa Tanzania nchini, Frédéric Clavier.


No comments