Breaking News

JPM AWASILI NAMIBIA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS HAGE GEINGOB IKULU.

Rais Dkt. John  Magufuli akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Namibia kulia kwake ni Rais wa Namibia Hage Geingob akishuhudia.
   Dkt. Magufuli akiwa na mwenyeji wake Raiswa Namibia Hage Geingob wakati wa nyimbo za mataifa mawili zikipigwa katika viwanja vya Ikuluya Namibia.
 
Dkt. Magufuli akikagua Gwaride la Heshma aliloandaliwa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Namibia.
 
Dkt. Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Namibia  Hage Geingob mara baada ya kuwasili.
 
Dkt. Magufuli akikaribishwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Hage Geingob mara baada ya kuwasili Namibia.
 
Dkt. Magufuli akiwa katika mazungumzo yake na mwenyeji wake Rais  Hage Geingob mara baada ya kuwasili.
 
Dkt. Magufuli akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo ya pamoja na mwenyeji wake Rais Hage Geingob ambaye alikuwa akiongoza ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu ya Namibia. PICHA NA IKULU.

No comments