Breaking News

JPM AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA MAKABURI YA MASHUJAA WA NAMIBIA.Rais Dkt. John Magufuli akielekea kuweka shada la maua katika Makaburi ya Mashujaa wa Namibia yaliyopo katika eneo la Heroes’ Acre mara baada ya kuwasili katika eneo hilo.
 
Dkt. Magufuli akisali mbele ya Makaburi ya Mashujaa wa Namibia yaliyopo katika eneo la Heroes’ Acre mara baada ya kuweka shada la maua.

 Dkt. Magufuli akiondoka pamoja na mwenyeji wake Rais wa Namibia Hage Geingob mara baada ya kuweka shada la maua katika Makaburi ya Mashujaa wa Namibia yaliyopo katika eneo la Heroes’ Acre.

 
Dkt. Magufuli akiagana na mwenyeji wake Raiswa Namibia Hage Geingob mara baada ya kuweka shada la maua katika Makaburi ya Mashujaa wa Namibia yaliyopo katika eneo la Heroes’ Acre


Dkt. Magufuli akikagua kiwanda cha nyama cha Meatco kilichopo katikati mwa mji wa Windhoek Namibia. PICHA NA IKULU


No comments