Breaking News

JPM, MNANGAGWA WAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI IKULU ZIMBABWE.


Dkt. Magufuli akiwa katika picha na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa pamoja na waandishi wa habari wa Zimbabwe na Tanzania mara baada ya kuzungumza nao Ikulu ya Harare Nchini Zimbabwe. 


Rais Dkt. John Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu waliyojadiliana baina ya Serikali za nchi zote mbili.
Picha na Ikulu.

No comments