Breaking News

MAJALIWA AMWAKILISHA JPM KATIKA SHEREHE ZA KUMWAPISHA RAIS WA MALAWI.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Malawi, Ben Botolo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Chileka uliopo Blantyre Malawi kumwakilisha Rais Dkt. Magufuli katika sherehe za kumwapisha Rais wa Malawi, Profesa  Arthur  Mutharika, Mei 31, 2019.
 
Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Malawi,  Ben Botolo wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Chileka uliopo Blantyre nchini Malawi kuwakilisha, Rais Dkt Magufuli katika sherehe za kumwapisha Rais wa Malawi, Profesa, Arthur Peter Mutharika, Mei 31, 2019.


Majaliwa akimsikiliza Rais wa Malawi, Profesa Arthur  Mutharika wakati Rais huyo alipohutubia baada ya  alipoapishwa kwenye Uwanja wa Kamuzu mjini Blantyre, Mei 31, 2019. Majaliwa alimwakilisha  Dkt Magufuli katika sherehe za kumwapisha Rais huyo.


Majaliwa akisalimiana na Rais wa zamani wa Malawi, Bakili Muluzi katika sherehe za kumwapisha Rais wa Malawi Profesa Arthur  Mutharika zilizofanyika kwenye uwanja wa Kamuzu mjini Blantyre, Mei 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)

No comments