Breaking News

MAJALIWA AWAFUTURISHA WATUMISHI WA OFISI YAKE.


Majliwa akizungumza katika futari aliyowaandalia watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 28, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge , Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama baada ya futari aliyowaadalia watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 28, 2019. Kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Maimuna Tarishi na wapili kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na  Uwekezaji), Dorothy Mwaluko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments