Breaking News

RAIS MAGUFULI ATETA NA RAIS MNANGAGWA IKULU JIJINI HARARE.


Rais Dkt. John Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa alipokuwa akisalimiana na Kaimu Balozi wa Zimbabwe Nchini Tanzania Martin Tavenyika mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019.
 
Dkt. Magufuli akikagua paredi maalumu lililoandaliwa na Jeshi la Zimbwabwe  mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019.

 
Dkt. Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa wakitazama kikundi cha ngoma  mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019.

 
Dkt. Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa pamoja Mke wa Rais wa Zimbwabwe Amai Mnangagwa kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Dkt. Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa Mnangagwa kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa, Mke wa Rais wa Zimbwabwe  Amai Mnangagwa (Wapili kutoka kulia), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania Profesa Palamagamba Kabudi (Wapili kutoka kushoto),Waziri wa Mambo ya nje wa Zimbabwe Sibusiso Moyo(Wakwanza kulia) pamoja na Mkuu wa Itifaki wa Tanzania  Balozi Grace Martin kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019.
 
Dkt. Magufuli akimkabidhi zawadi ya picha Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa inayoonyesha baadhi ya Wanyama waliopo katika Hifadhi mbalimbali za Wanyama Tanzania pamoja kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019.
 
Dkt. Magufuli akigonga glasi na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa wakati wa Dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais wa Zimbwabwe Ikulu ya Harare  nchini Zimbabwe. Mei 28, 2019.
 
Dkt. Magufuli akimshukuru Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa kwa Dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa Ikulu ya Harare  nchini Zimbabwe. Mei 28, 2019.
 
Dkt. Magufuli akizungumza wakati wa Dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Mnangagwa Ikulu ya Harare  nchini Zimbabwe. Mei 28, 2019. PICHA NA IKULU.

No comments