Breaking News

RAIS MAGUFULI, RAIS GEINGOB WAZINDUA MTAA WA NYERERE NAMIBIA.

Rais Dkt. John Magufuli akimweleza Mwenyeji wake Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob alichokiandika kwenye kitabu cha kumbukumbu kwa Lugha ya Kiswahili Katika kuhakikisha Kiswahili kinatangazwa kimataifa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Jijini Windhoek Nchini Namibia. Mei 27, 2019.
                  
Dkt. Magufuli akifunua kitambaa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob kuashiria uzinduzi rasmi wa mtaa Julius K. Nyerere ulipo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia. Mei 27, 2019.

Dkt. Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob alipokuwa akimuonyesha Makongoro Nyerere motto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere mtaa mpya unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia. Mei 27, 2019.


Dkt. Magufuli akipiga makofi na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob mara baada ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba waTaifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopokatikaJiji la Windhoek Nchini Namibia. Mei 27, 2019

Dkt. John Magufuli akipongezana na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob mara baada ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba waTaifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia. Mei 27, 2019

Mtaa mpya wenye jina la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE ukifunuliwa rasmi mara baada ya kuzinduliwa na Rais Dkt. Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia.Mei 27, 2019


Dkt. Magufuli akifurahia na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob wakati wa hafla ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba waTaifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia. Mei 27, 2019

Dkt. Magufuli akiwapongeza Watanzania wanaoishi Namibia mara baada ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia. Mei 27, 2019 PICHA NA IKULU.

No comments