Breaking News

RAIS WA NAMIBIA AMWANDALIA DHIFA YA KITAIFA RAIS MAGUFULI.

Rais Dkt John Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Namibia Sam Nujoma wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019.

Dkt. Magufuli akipeana mikono na RAis Mstaafu wa Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Namibia Hifikepunye Pohamba  wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob (kushoto)  Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya kwanza wa Nchi hiyo Sam Nujoma na Kulia na Makamu MWenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula.

Dkt. Magufuli akipeana mikono na RAis Mstaafu wa Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Namibia Hifikepunye Pohamba  wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob (kushoto)  Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019. PICHA  NA IKULU

No comments