Breaking News

WALIMU SHULE MAALUMU YA WASIOONA WAPATIWA MAFUNZO YA HEDHI SALAMA .

Baadhi ya washiriki ambao ni walemavu wasioona wanaohudhuria mafunzo ya hedhi salama kwa watoto wa kike na makundi maalum ya walemavu, mafunzo hayo yanaendeshwa na Shirika la Kimataifa la Water Supplies Corraboration Council katika Wilaya ya Chamwino Jijini Dodoma.

Washiriki wa mafunzo ya hedhi salama kwa watoto wa kike na makundi maalum ya walemavu wasioona wakiwa katika majadiliano wakati wakiendelea na mafunzo hayo katika Shule maalum ya watoto wasioona ya Bwigiri iliyopo Wilayani Chamwino.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya hedhi salama wakifuatilia mada iliyokua ikiendelea katika Shule maalum ya watoto wasioona ya Buigiri iliyopo Wilayani Chamwino Jijini Dodoma.


No comments