Breaking News

WIZARA YA MAMBO YA NJE YAWASILISHA BAJETI BUNGENI.


Baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa  Afrika Mashariki wakifuatilia uwasilishaji wa hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo iliyo wasilishwa na Waziri Profesa Palamagamba Kabudi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  May 30, 2019.
 
Baadhi ya Mabalozi wanaoziwakilisha Nchi zao hapa Nchini  Tanzania wakifuatilia uwasilishaji wa hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Njena Ushirikiano wa Afrika Mashariki iliyo wasilishwa na Waziri Profesa Palamagamba Kabudi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. May 30, 2019.
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akipongezana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro mara baada ya kuwasilisha bajeti ya Wizara hiyo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. May 30, 2019.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Mnyepe akiwa na Mkurugenzi wa Ofisi ya Mambo ya Nje, Zanzibar Balozi Mohamed Hamza (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Njena Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Ramadhani Mwinyi. May 30, 2019.
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi (kushoto) wakijadiliana jambo Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Njena Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro (katikati) pamojana Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Augustine Mahiga (kulia). May 30, 2019.
 
Waziri wa Mambo ya Njena Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro wakisikiliza hoja za Wabunge wakati wa uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara hiyo Bungeni mjini Dodoma. May 30, 2019.
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akiwa katika picha ya pamoja nje ya Bunge na baadhi ya Mabalozi wanaoziwasilisha Nchi zao hapa Nchini. May 30, 2019.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Njena Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Mnyepe akipongezwa na Mwakilishi wa Ubalozi wa China hapa Nchini Lin Liang. May 30, 2019.
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akipongezwa na Dkt. Detlef Wrätcher Balozi wa Ujerumani hapa Nchini mara baada ya Waziri kuwasilisha hotuba ya Bajaeti ya Wizara yake. May 30, 2019.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Njena Ushirikiano wa  Afrika Mashariki Dkt. Faraji Mnyepe akibadilishana mawazo na baadhi ya Mabalozi wanaoziwasilisha Nchi zao hapa Nchini mara baada ya kuwasilishwa hotuba ya bajeti ya wizara hiyo Bungeni Mjini Dodoma. May 30, 2019.
 

No comments