Breaking News

ASKOFU GWAJIMA AKUTANA NA RAIS MAGUFULI IKULU.

Rais Dkt. John Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na UzimaDkt. Josephat Gwajima mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Dkt. Magufuli akiwa katika mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima Ikulu jijini Dar es Salaam.

Dkt. Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde wa kwanza kutoka kushoto. PICHA NA IKULU
No comments