Breaking News

BAADHI YA MATUKIO YALIOJIRI WAKATI WAZIRI MKUU AKIFUNGUA GEREZA LA RUANGWA.


Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la Wilaya ya Ruangwa kufungua Gereza hilo, Juni 3, 2019.

 
Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la Wilaya ya Ruangwa kuzindua Gereza hilo, Juni 3, 2019. Kulia ni Mkewe Mary.

 
Majaliwa akisalimiana na Kamishina Jenerali wa Magereza,   Phaustine Kasike wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la wilaya ya Ruangwa kufungua Gereza hilo, Juni 3, 2019.  Katikati ni mkewe Mary.


Askari Magereza wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kabla ya kufungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa, June 3, 2019.


Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wa tatu kulia) wakifungua Gereza la wilaya ya Ruangwa Juni 3, 20, 19. Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa , wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na kushoto ni Kamishina Jenerali wa  Magereza, Phaustine Kisike.


 Majaliwa  na Mkewe Mary ((wa pili kulia)  wakitazama gari alilolitoa Waziri Mkuu kwa Gereza la Wilaya ya Ruangwa wakati alipofungua Gereza hilo, Juni 3, 2019.Majaliwa akifungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa Juni 3, 2019.  Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Maofisa wa Jeshi la Magereza baada ya kufungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa, Juni 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments