Breaking News

BAADHI YA MATUKIO YALIYONOGESHA FAINALI YA ASFC ILULU.Mshambuliaji wa Azam, Obrey Chirwa  akimtoka Mlinzi wa Lipuli Novart  Lufunga katika mechi ya fainali ya ubingwa wa mashindano ya Shirikisho la Azam iliyochezwa kwenye uwanja wa Ilulu mjini Lindi Juni 1, 2019. Azam ilishinda 1-0.
 
Mshambuliaji wa Azam, Donald Ngoma akichanja mbuga kuelekea lango la Lipuli huku akizongwa na mlinzi wa Lipuli Haruna Shamte katika mechi ya fainali ya mashindano ya Shirkisho la Azam kwenye uwaja wa  Ilulu mjini Lindi Juni 1, 2019. Azam ilioshinda 1-0.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe cha Ubingwa wa Shirikisho la Azam (ASFC), nahodha wa Azam, Aggrey  Moris baada ya  Azam kuifunga Lipuli 1-0 katika mechi ya fainali iliyochezwa kwenye uwnja wa Ilulu mjini Lindi Juni 1, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri )

No comments