Breaking News

DKT. FRANCIS AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WA KIUTENDAJI MAKATIBU WA SERIKALI.


Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael akifungua mafunzo ya Makatibu wa Mawaziri na wa Naibu Mawaziri ya kuwajengea uwezo wa kiutendaji yaliyofanyika jijini Dodoma leo.


Baadhi ya Makatibu wa Mawaziri na wa Naibu Mawaziri wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael (hayupo pichani) alipokuwa akifungua mafunzo yao ya kuwajengea uwezo wa kiutendaji yaliyofanyika jijini Dodoma leo.


Mratibu wa Wasaidizi wa Viongozi, John Kiswaga akiwasilisha hoja kwa Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kiutendaji yaliyofanyika jijini Dodoma leo.

Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wa Mawaziri na wa Naibu Mawaziri baada ya kufungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kiutendaji yaliyofanyika jijini Dodoma leo.


No comments