Breaking News

DKT. MAGUFULI AMKABIDHI MAJALIWA FLASH DISKA, KITABU VYENYE ORODHA 17447 YA WAFANYABIASHARA WAKWEPAJI KODI.
Rais Dkt. John Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kitabu pamoja na Flash Diska mbazo zinamajina na orodha ya Makampuni ya Wafanyabiashara 17447 ambayo yamekuwa yakifanya udanganyifu ikiwemo ukwepaji wa kodi mara baada ya kikao na Wafanyabiashara Ikulujijini Dar es Salaam.
 
Mawaziri pamojana Wafanyabiashara mbalimbali wakiwakatika kikao cha Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja naWajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULUNo comments