Breaking News

MAJALIWA AHUTUBIA BARAZA LA EID.


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Baraza la Eid kwenye ukumbu wa Hotel ya Tanga Beach Resort jijini Tanga, Juni 5, 2019.
                   


Baadhi ya  Viongozi wakimsikiliza Majaliwa wakati alipohutubia Baraza la Eid kwenye ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort  jijini Tanga, Juni 5, 2019.Majaliwa akisalimiana na Sheikh Abubakar Zuberi Bin Ally, Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kushiriki katika Baraza la Eid kwenye ukumbi wa Tanga Beach Reort jijini Tanga, Juni 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments