Breaking News

MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA RWANDA.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la Rwanda, Mheshimiwa Donatile Mukabalisa kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11.2019.

                        
Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge la Rwanda, Mheshimiwa Donatile Mukabalisa, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments