Breaking News

MAJALIWA ASHIRIKI SWALA YA EID EL FITR MSASANI DAR ES SALAAM.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mwenyekiti wa Msikiti wa Anwari  uliopo Msasani jijini Dar es salaam, Sheikh Alhaji Suleiman Mohammed wakati alipowasili msikitini hapo kuswali Swala ya Eid El Fitr, Juni 5, 2019.
 Majaliwa akishiriki katika Swala ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwari, Msasani jijini Dar es salaam, Juni 5, 2019.


Majaliwa akizungumza baada ya Swala ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam, Juni 5, 2019.


Majaliwa  akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kushiriki katika Swala ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam, Juni 5, 2019. Kulia ni Mwenyuekiti wa Msikiti huo, Sheikh Alhaji, Suleiman Mohammed.Majaliwa akisalimiana na Mohammed Iqbal Noray baada ya kushiriki Swala ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam, Juni 5, 2019.


Majaliwa akisalimiana na watoto baada ya kushiriki Ibada ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Juni 5, 2019., (Picha na ofis ya Waziri Mkuu)

No comments