Breaking News

MATUKIO YA MAJALIWA BUNGENI NA KUSOMWA KWA BAJETI KUU YA SERIKALI 2019/2020.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, Bungeni jijini DodomaJuni 13.2019.

 
Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 13.2019.


 Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 13.2019.

 
Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 13.2019.

 
Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 13.2019.


 Majaliwa, akizungumza na Wabunge, kwenye jengo la Utawala Bungeni jijini Dodoma, Juni 13.2019. Tokea kushoto ni Mbunge Nzega mjini Hussein Bashe, Mbunge wa Mtama Nape Mnauye, Mbunge wa Kahama mjini Jumanne Kishimba. 

 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango akiwasili katika viwanja vya  Bunge kwa ajili ya kusoma Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2019/2020 Jijini DodomaJuni 13.2019.

 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mpango, akisoma Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2019/2020, Bungeni jijini DodomaJuni 13.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


No comments