Breaking News

MPINA AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA MAZIWA ARUSHA.


Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina akishiriki zoezi la ugawaji wa maziwa kwa baadhi ya Wanafunzi wa shule mbalimbali Mkoani Arusha katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa iliyofanyika katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Tarehe 01/05/2019. 
                           
 
Wananchi wakipokea maziwa kutoka kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina katika  Siku ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya maziwa yaliyotolewa na Wadau mbalimbali kwa ajili ya uhamasishaji wa unywaji maziwa Nchini.


Waziri Mpina atembelea baadhi ya mabanda ya Wadau wa Sekta ya maziwa katika Kilele cha Maadhimisho hayo Jijini Arusha.


No comments