Breaking News

PICHA WAZIRI KIGWANGALLA ALIVYOZINDUA BODI YA UTALII.


Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizindua rasmi Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) jijini Dodoma. Bodi hiyo imeongezewa muda wa miaka 3 na Rais Dkt. John Magufuli Aprili 23 mwaka huu.

Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania(TTB) Thomas Mihayo akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Bodi ya Utalii Tanzania jijini Dodoma.


Viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiongozwa na Waziri wa Maliasili   na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Utalii Tanzania mara baada ya uzinduzi wa Bodi hiyo jijini Dodoma.No comments