Breaking News

PROF. PALAMAGAMBA AKUTANA NA WAMILIKI NA WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na Wamiliki na viongozi wa vyombo vya habari katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar Es salaam kuhusu Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. June 13, 2019.


Prof. Kabudi akizungumza na Wamiliki na viongozi wa vyombo vya habari (hawapo pichani) katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar Es salaam kuhusu Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. June 13, 2019.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda Mukabalisa Donatille akiwasili katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar es Salaam. June 13, 2019.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda Mukabalisa Donatille (kulia) akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Faraji Mnyepe katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar es Salaam. June 13, 2019.


Prof. Kabudi akisalimiana na mgeni wake ambaye ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda Mukabalisa Donatille katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar es Salaam. June 13, 2019.


Prof. Palamagamba Kabudi akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda Mukabalisa Donatille kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Dkt. Faraji Mnyepe katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar es Salaam. June 13, 2019.


Prof. Palamagamba John Kabudi akiagana na mgeni wake ambaye ni  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda Mukabalisa Donatille katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar es Salaam. June 13, 2019.


Prof. Kabudi akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Rwanda Mukabalisa Donatille katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki zilizopo jijini Dar es Salaam. June 13, 2019.


Baadhi ya Wamiliki na Wakuu wa vyombo vya habari nchini wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi (hayupo pichani) alipokutana na kufanya nao mazungumzo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar Es salaam kuhusu Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. June 13, 2019.


No comments