Breaking News

RAIS MAGUFULI ALIVYO ZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA IKULU.Rais Dkt. John Magufuli akizungumza na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulujijini Dar es Salaam.

 
Dkt. Magufuli akiwa ameshika Flash Diska mbazo zina majina na orodha ya Makampuni 17447 ambayo yamekuwa yakifanya udanganyifu ikiwemo ukwepaji wa kodi, Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais Dkt. Magufuli akiwa ameshika Kitabu chenye majina na orodha ya Makampuni 17447 ambayoyalisajiliwa BRELA lakini yamekuwa yakifanya udanganyifu na ukwepaji wa kodi.


Dkt. Magufuli akiwa pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakati wakisikiliza hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa  Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Ukumbi wa Kikwete Ikulujijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC pamoja na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini wakiwa katika Kikao na Rais Dkt. Magufuli Ikulujijini Dar es Salaam.Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya mbalimbali nchini wakichangia hoja mbalimbali katika Kikao chao na Rais Dkt. Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU


No comments