Breaking News

WAITARA AHUDHURIA MKUTANO WA WAKURUGENZI WA AZAKI DODOMA.


Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, TAMISEMI, Mwita Waitara,akikata utepe wa kuashiria ufunguzi wa  Mkutano wa Wakurugenzi wa AZAKI na Zoezi la kusaini Mikataba ya Ruzuku kwa ajili ya Utekelezaji wa Miradi Tanzania bara na Visiwani katika Ukumbi wa Mikutano ya Royal Vilalage Hotel leo jijini Dodoma.


Waitara,akitoa hotuba katika Mkutano wa Wakurugenzi wa AZAKI na Zoezi la kusaini Mikataba ya Ruzuku kwa ajili ya Utekelezaji wa Miradi Tanzania bara na Visiwani katika Ukumbi wa Mikutano ya Royal Vilalage Hotel leo jijini Dodoma.Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Uwezeshaji wa AZAKI, Francis Kiwanga, akitoa taarifa kwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa wakati wa mkutano na Wakurugenzi wa Asasi pamoja na  zoezi la kusaini mikataba ya Ruzuku kwa ajiri ya utekelezaji wa miradi Tanzania bara na Visiwani Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, TAMISEMI, Mwita Waitara.


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Uwezeshaji wa AZAKI, Francis Kiwanga akisimamia baadhi ya wadau wa AZAKI Zoezi la kusaini Mikataba ya Ruzuku kwa ajili ya Utekelezaji wa Miradi Tanzania bara na Visiwani katika Ukumbi wa Mikutano ya Royal Vilalage Hotel leo jijini Dodoma.Waitara, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki na viongozi wa AZAKI baada ya kufungua  Mkutano wa Wakurugenzi wa AZAKI na Zoezi la kusaini Mikataba ya Ruzuku kwa ajili ya Utekelezaji wa Miradi Tanzania bara na Visiwani katika Ukumbi wa Mikutano ya Royal Vilalage Hotel leo jijini Dodoma.


No comments