Breaking News

WAKILI MKUU WA SERIKALI ALIVYO KABIDHI MFUMO WA USIMAMAZI WA MASHAURI.


Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Clement Mashamba, akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari( hawapo pichani) kabla ya kukabidhiwa Mfumo wa Usimamazi wa Mashauri uliotengenezwa na Wakala ya Serikali Mtandao (e GA), Makabidhiano ambayo yalifanyika leo Ijuma, Juni 7,2019  Jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mkurugenzi wa Ubora na Udhibiti Mashauri kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na kushoto ni Mkurugenzi wa Usimamizi wa Huduma za TEHAMA wa Wakala ya Serikali Mtandao, Injinia Benedict Ndomba.

 
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Clement Mashamba(Kulia), akipokea rasmi Mfumo wa Usimamazi wa Mashauri kutoka kwa Mkurugenzi wa Usimamizi wa Huduma za TEHAMA wa Wakala ya Serikali Mtandao, Injinia Benedict Ndomba(Kushoto) Makabidhiano  hayo yalifanyika leo Ijuma, Juni 7,2019 Jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa Usimamizi wa Huduma za TEHAMA wa Wakala ya Serikali Mtandao, Injinia Benedict Ndomba (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo kuhusu  ufanyaji  kazi wa Mfumo wa Usimamazi wa Mashauri uliotengenezwa na Wakala ya Serikali Mtandao (e GA) mbele ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Clement Mashamba( wa pili kushoto) katika makabidhiano ya Mfumo huo mapema Leo Jijini Dar es Salaam.

 
Mfumo wa Usimamazi wa Mashauri uliokabidhiwa na Wakala ya Serikali Mtandao mapema leo kama unavyoonekana kwenye Picha. (Picha na MAELEZO).

No comments