Breaking News

BALOZI SEIF ALI IDD ANOGESHA HAFLA YA KUFUNGA MAONESHO YA 43 YA BIASHARA SABASABA.


Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akimkabidhi cheti cha ushindi mmoja wa washiriki wa makampuni kutoka nchini Rwanda, wakati wa hafla  kufunga Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) leo Alhamisi (Julai 11, 2019)yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.

 
Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa akizungumza wakati wa hafla ya kufunga Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere leo Alhamisi (Julai 11, 2019).

 
Balozi Seif Alli Idd akimkabidhi cheti cha ushindi mmoja wa washiriki wa makampuni yaliyoshiriki katika Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam wakati hafla  kufunga maonesho hay oleo Alhamisi (Julai 11, 2019) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.

 
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Alli Idd akimkabidhi cheti cha ushindi Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dorina Kaaya wakati wa hafla  kufunga Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) leo Alhamisi (Julai 11, 2019)yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.

 
Balozi Seif Alli Idd akimkabidhi cheti cha ushindi mmoja wa washiriki kutoka Kampuni ya uzalishaji maziwa ya Asasi Diaries wakati wakati wa hafla  kufunga Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) leo Alhamisi (Julai 11, 2019)yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere. PICHA NA PASCHAL DOTTO-

No comments