Breaking News

JPM AMTEUA JULIUS MTATIRO KUWA MKUU WA WILAYA YA TUNDURU.


Rais Dkt. John Magufuli amemteua  Julius  Mtatiro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoani Ruvuma.
Mtatiro anachukua nafasi ya Juma Zuberi Homera ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi.
Uteuzi wa Mtatiro unaanza leo tarehe 14 Julai, 2019.


No comments