Breaking News

KATIBU WA ZITTO KABWE ABWAGA MANYANGA ACT, AJIUNGA CCM.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kadi ya CCM, Damas Shaltiel ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe aliyekihama Chama cha ACT Wazalendo na kujiunga na CCM baada ya Waziri Mkuu kuhutubia Kongamano lililoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019.

 
Majaliwa akionyesha  kadi ya ACT Wazalendo ya Damas Shaltiel (kushoto)  ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe baada ya katibu huyo kukihama chama hicho na kujiunga na CCM baada ya Majaliwa kuhutubia Kongamano lililoandaliwa na Umoja wa  Wanawake Tanzania (UWT) kwenye uwanja  wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019.Kulia ni Mwenyekiti wa UWT, Gaudencia Kabaka.

 
Majaliwa akimpokea  Damas Shaltiel ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe aliyekihama Chama cha ACT Wazalendo na kujiunga na CCM baada ya Waziri Mkuu kuhutubia Kongamano lililoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments