Breaking News

NAIBU WAZIRI WA NISHATI, SUBIRA MGALU AKAGUA MITAMBO YA KUZALISHIA UMEME KIGOMA.


Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akisaini kitabu cha wageni katika kituo cha kuzalisha umeme, alipofanya ziara ya kukagua utendaji kazi  katika kituo hicho.


Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu,( katikati) akikagua mitambo ya kuzalisha umeme katika kituo cha kufua umeme mkoani Kigoma.

 
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu,( katikati) akiwapa maelekezo wasimamizi wa mitambo ya kufua umeme katika kituo cha kuzalisha a umeme mkoani Kigoma.


Watendaji wa kituo cha kuzalisha umeme cha Kigoma wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu.( katikati) , alipofanya ziara ya kukagua utendaji kazi  katika kituo hicho.

No comments