Breaking News

RAIS YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA YA SIKU 1 NCHINI TANZANIA.Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni kesho Jumamosi tarehe 13 Julai, 2019 atafanya Ziara Binafsi ya siku 1 moja hapa nchini.

Rais Museveni atamtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kijijini kwake Mlimani katika Wilaya ya Chato Mkoani Geita.

Akiwa Chato, Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Magufuli.


No comments